TASNIA ya Bongo Fleva imejaa vipaji vingi vya kike vilivyoacha alama kubwa licha ya kudumu kwa muda mfupi. Cha kusikitisha ni kwamba baadhi ya wasanii hao walilazimika kuacha muziki wakiwa bado ...